Picbear logo Browse Instagram content with Picbear

@pichazasimu

pichazasimu

pichazasimu

Lengo ni kuleta mapinduzi katika tasnia ya picha nchini kupitia #pichazasimu. Watanzania zaidi ya Mil. 20 wenye simu wana dhati ya picha. Tag/Follow

 • 1K Total Likes
 • 31 Tot. Comments
23. SELFIE BORA: Kipengele kinachohusisha selfie 🤳 iliyovutia katika shindano. Kipengele hiki alinyakua @official_herry (Twitter) Rejea picha zake.
22. DIASPORAS: Kipengele hiki ni maalum kwa picha bora zilizopigwa na watanzania ughaibuni. Kipengele hiki alibeba @es_taa. Rejea picha zake.
21. BEST DoF: Kipengele kinachojumuisha picha kali iliyotengeneza ukanda wa uangavu (zone of sharpness/depth of field) kwa kutumia ufundi wa kucheza na mahusiano kati ya umbali wa simuCam/subject/background. Kipengele hiki alinyakua @dulie_on Rejea picha zake.
20. TRAVEL/PLACES: Picha zilizopigwa na washiriki wakiwa safarini na/au sehemu tofauti tofauti za nchi. Kipengele hiki alishinda @hakily__ Rejea picha zake.
19. BIRD’S EYE VIEW: Kipengele kinachojumuisha picha zilizopigwa kutokea angle za juu. Kipengele hiki alichukua: @brightmasambu na @casarikie (Twitter) Rejea picha zao.
18. BEST FoV: Field of view— Kipengele kinachohusisha picha yenye mvuto wa eneo-wazi la kuonekana kwa viewer kutokana na namna ambavyo mpiga picha alikaa. Kipengele hiki alichukua @emafabolous. Rejea picha zake.
17. GARDEN: Kipengele kinachohusisha picha za uoto wa asili-upili na maua. Kipengele hiki alichukua. @omalichaa__ (Twitter) @eddie_elbaalawy (Twitter) @ellyquincy @iggy_slym Rejea picha zao.
16. COLOR BALANCE: Ni kipengele kinachojumuisha picha zenye rangi zilizochomoza au element ambazo zina uwiano wa rangi ndani ya picha unaoibua mood chanya. Kipengele hiki alishinda @kid255 na @xandacage Rejea picha zao.
Eid Mubarak 🕌🌙 . . Photo credits: @vincent_willz #pichazasimu #pichakiganjani
15. AGRO-SHOTS: Kipengele kinachohusisha picha zinazohusiana na masuala ya kilimo/mashamba. Kipengele hiki alishinda: @omalichaa_ (Twitter) @hancymachemba @hakily__ Rejea picha zao.
14. SUPER LOWLIGHTS: Kipengele hiki kinahusisha picha bora zilizopigwa katika mwanga hafifu/usiku. Kipengele hiki alinyakua: @tobyshija (Twitter) @anuvice (Twitter) @reginoold @mndendeule Rejea picha zao.
13. ABSTRACT: Kipengele kinachohusisha picha zilizopigwa kiufundi kwa kuunganisha element au props kadhaa ili kupata picha yenye subject na mood dhania. Kipengele hiki alinyakua @fredavich (Twitter) Rejea picha zao.
12. PORTRAIT: Kipengele kinachohusiana na picha za watu au kikundi cha watu, zenye kuvuta hisia kutokana na mpangilio wake, pozi ama background. Kipengele hiki alishinda: @Anky4teen (Twitter) @lilianboniface @Otchuman (Twitter) @MGAMBILWA (Twitter) Rejea picha zao.
11. MARINE: Kipengele kinachohusisha picha zilizopigwa juu ya uso wa maji (baharini, ziwani, au mtoni). Kipengele hiki alibeba @kid255 @mndendeule @ShussaJane (Twitter) @prosperrupia (Twitter) Rejea picha zao.
10. HUSTLE-BUSTLE: Ni kipengele kinachojumuisha picha za watu na mikiki mikiki/mihangaiko ya kila siku ya kimaisha. Kipengele hiki alishinda @ierique na @hakily__ Rejea picha zao.
9. GOLDEN HOUR: Kipengele kinachojumuisha picha zilizopigwa muda mfupi kabla ya machweo. Picha hizi huwa na mwonekano na mood ya dhahabu. Kipengele hiki alishinda @joelpama na @patiriki_wa_kunambi Rejea picha zao.
8. STILL SHOTS: Kipengele chenye picha zinahusisha ‘subjects’ zisizo na uhai. Picha hizi mara nyingi hupatikana majumbani ‘indoors’ mf. maua, mapambo, matunda, vinywaji n.k. Kipengele hiki alishinda @kid255. Rejea picha zao.
7. ANGLE BUNIFU: Kipengele hiki kinahusisha ubunifu wa mpiga picha juu ya pembe na urefu ambao mpiga picha anakaa dhidi ya subject yake: ‘viewpoint’ (PoV). Kipengele hiki alishinda @ally.madola na @xandacage Rejea picha zao.

Loading